nasema gospel lazima iende viral ei ei
tukidance(gwara)×2now you know ei Tanzania, Kenya na Congo
jina LA Yesu litafika everywhere
kunja mguu enda chini mpaka chini
ni Yesu tu ni Yesu tunaamini
mikono juu nakwambia weka juu ei
jina LA Yesu litafika everywhere
tuna gwara×8tuna dansia Yesu
tuna gwara×8hakuna kama Yesu
tuna gwara×8tuna dansia Yesu
tuna gwara×8hakuna kama Yesu
Everyday tuna (step on the enemy) ×2ooouh
ati tuna (step on the enemy) ×2
wanasema gospel si ya wajanja
wakristo wana shida wana majanga
shetani tunamzika hii ni matanga
na nguvu ni za yesu si za waganga hao
kunja mguu enda chini mpaka chini
ni Yesu tu ni Yesu tunaamini
mikono juu nakwambia weka juu hey
jina la Yesu litafika everywhere
tuna gwara×8tuna dansia Yesu
tuna gwara×8hakuna kama Yesu
tuna gwara×8tuna dansia Yesu
tuna gwara×8hakuna Kama Yesu
Tunamsifu na different style
wanasema gospel si ya wajanja
wakristo wana shida wana majanga
shetani tunamzika hii ni matanga
na nguvu ni za Yesu siza waganga hao
kunja mguu ends chini mpaka chini
ni Yesu tu ni Yesu tunaamini
mikono juu nakwambia weka juu
jina la Yesu litafika everywhere
tuna gwara×8tuna dansia Yesu
tuna gwara×8hakuna Kama Yesu
tuna gwara×8tuna dansia Yesu
tuna gwara×8hakuna Kama Yesu