Penzi la vituko na vita kila siku siliwezi bana
MI Sina speed ya mapenzi na sio mtu WA kushoboka
Nataka penzi lilo lainika yani penzi lilonyooka
nikipenda na penda kweli na siezangi kuponyoka
Nishazoea mabusu yakunipoza
Chumbani mautundu nikuchokozwa
Nishazoea mabusu yakunipoza
Chumbani mautundu nikuchokozwa
Naiwe Naiwe ya maana Naiwe
Naiwe Naiwe ya maana naiwe
Nana naiwe, Naiwe naiwe ya maana naiwe
Tukila good time, Je uko sure, utatulia baba
Na zile bad time, isijekuwa, tanizimia rada,
Maana mapenzi ujana, jana, mimi naogopa sana
Ata tukigombana, mbana, tusije kuchukiana
Nishazoea mabusu yakunipoza
Chumbani mautundu nikuchokozwa
Nishazoea mabusu yakunipoza
Chumbani mautundu nikuchokozwa
Naiwe Naiwe ya maana Naiwe
Naiwe Naiwe Naiwe ya maana naiwe
Naiwe, Naiwe ya maana naiwe
Nana Naiwe, Naiwe Naiwe ya maana naiwe