Wao hawavioni buku, wakabukuwa
Kongole la butu, tukabutuwa
Kwenye chukuchuku, wakachukuwa (wee)
iIpandishe kwa juu, alafu shusha
Weka mvinyo kwa glasi, asha mziki tufurahi (aah yee)
Takataka, zote nikatupa store
Wasaka, wote wanaisoma show
Na nawasha, sizimi mpaka waombe pole
Waiter, waiter, waiter, ongeza kama tulivyo
Waiter, waiter, waiter, ongeza kama tulivyo
Na nishavunja kibuku nawaza nileweje
Kisha niwaambie nilitaka nisemeje
Dj niko sawa, niondokee na tege (teege)
Haikataii, kufa mara moja
Kesho kaba chaii, nipe tena moja
Waiter, waiter, waiter, ongeza kama tulivyo
Waiter, waiter, waiter, ongeza kama tulivyo
Kama hujalewa (njoo kwetu)
Sanga limegoma (njoo kweeetu)
Uwe umeishiwa (njoo kwetu)
Uta uta tesa (njoo kweeetu)
Njoo kwetu... njoo kweeetu
Njoo kwetu... njoo kweeetu
Zungusha kama tulivyo, ongeza kama tulivyo
Zungusha kama tulivyo, ongeza kama tulivyo